Tuesday, November 19, 2013

In my shoes ya Wema Sepetu – Msiba Episode 5

Ile show ya Wema Sepetu aliyozungumzia msiba wa baba yake na mambo mengine tayari ipo kwenye Youtube unaweza kuiangalia ujue alichokiongea mrembo huyo ambae ni mrembo wa Tanzania mwaka 2006 pia anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu nchini

No comments:

Post a Comment